China rusha satelite mpya ya kizazi kipya angani



China jana (Alhamisi) ilituma satelaiti ya kizazi kipya ya kuangalia rangi ya bahari angani ili kusaidia kuboresha uelewa wa maji ya baharini. Hii ni setilaiti ya kwanza duniani ya uchunguzi wa rangi ya bahari yenye usahihi wa hali ya juu ambayo inalenga maeneo mbalimbali ya maji duniani kote, kwa kutumia mbinu nyingi za kutambua.
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,