Trending

Aitunza bikra yake kwa miaka 39.
Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani na Nigeria Yvonne Orji ameweka wazi kuwa yeye bado ni bikra na ameitunza bikra yake hiyo kwa miaka 39 mpaka sasa.
Yvonne Orjia amefichua hilo akizungumza na mtangazaji Chelsea Handler katika Episode mpya ya Podcast yake ya 'Dear Chelsea'. 
Comments za mashabiki wengi wamempongeza kwa kutunza bikra yake hiyo, wengine wakimkosoa kusema ni muongo na wengine kushangazwa katika umri huo kuwa bado ni bikra.
Mahari yake inafaa kuwa Tsh ngapi kwa mwanaume atakayemuoa?

Chanzo
East Africa TV
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,