Teknolojia

Kampuni ya elon mask yaja na mfo wa kupandikiza chip kichwani

Kampuni ya Neuralink inayomilikiwa na Bilionea wa Dunia, ElonMusk inatafuta Mtu wa kumpandikiza Kifaa maalumu 'Ubongo Bandia' wenye uwezo kuamsha tena Viungo au Uwezo wa Binadamu kufanya kazi ikiwemo kurejesha uwezo wa kuona na kutembea kwa waliopata tatizo la Kiharusi

Awali, Neuralink ilikuwa na matumaini ya kupata kibali cha kupandikiza BrainChip kwa Wagonjwa 10, lakini Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) ilipunguza idadi baada ya kuibua wasiwasi kuhusu Usalama kwa Binadamu.

Taarifa zinaeleza upandikizaji unahusisha kufunguliwa Fuvu la Kichwa na kuunganishwa 'Kiolesura' cha Kompyuta (Brain-computer interfaces) kinachofanya kazi sawa au zaidi ya Ubongo. Hata hivyo katika majaribio ya awali Wanyama 1,500 walifariki
Chanzo
 jamii forum
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,