Historia

 Mfahamu fidel Castro na historia yake ya kuushangaza ulimwengu (Sehemu ya 01)
x


Anajulikana kama Fidel Castro ndiye mwana mapinduzi anafahamika sana . Umaarufu wake

ulikuwa mkubwa au kuongeza mara baada ya kuongoza mapinduzi ya Cuba ya kumpindua

Fulgencia Batista . Umaarufu wake pia ukiongeza hasa kipindi Cha vita baridi (cold war) ambayo

ilihususisha mataifa ya west (Magharibi) na East (mashariki), au Kwa ufupi kati ya communist

blocs na Capitalist bloc . Kabla ya mapinduzi Cuba ilikuwa na rafiki wa Taifa la marekani na urafiki huo uliimarishwa na

aliye kuwa rais wa kipindi hicho Fulgencia Batista ambaye wacuba walimuona kibaraka wa

wamarekan Kwani, marekani ilikuwa ikitegemea sukar na ilikuwa ikimiliki mashamba makubwa

ya miwa katika ardhi ya Cuba ili kuweza kuzalisha malighafi za viwanda vya Amerika na sio

Cuba. Ilikuwaje ushirikiano baina ya Cuba na marekani ukafa tunarudi nyuma kidogo mwaka 1962

ambako Cuba waliruhusu kijengwa Kwa military base ya kirusi ambayo waliweka mabomu ya

nyuklia huku yakielekea marekani. Jambo ambalo Kwa marekani ili washangaza na kuwatisha

Kwani adui sasa kafika mlangoni. Najua unajiulza ilikuaje mpaka warashia walishirikiana na

Cuba kujenga base hiyoo. Mnamo mwaka 1959 Fidel Castro alifanya mapinduzi ya kijesh ya kuiondoa serikali ya kidiktena

na ya rushwa iliyoongozwa na Fulgencia Batista na baada ya kuondoa serikali hiyo Fidel

alitaifisha viwanda vya wamarekan ambao waliwekeza Cuba na kuwa Mali ya serikali ya Cuba. Jambo ambalo lili waumiza wamarekan . Ikumbukwe Amerika ili msaidia Fulgencia Batista

kuingia madarakani mwaka 1934. Na tangia hapo marekani ilijitahid kuwekeza sana Cuba . Hivyo Fidel alikuja kuonekana kama virus Kwa wamarekani . American ili kata Kila aina ya misaada na ushirikia baina ya Cuba na marekani sasa hapo ndipo

kosa walilo lifanya la kwanza kuua ushirikia kulipelekea Cuba kuzid kuwa karibu na Urusi maana

Urusi na marekani walikuwa kwenye vita Kali na marekani japo ni vita baridi siku nyingine

ntaelezea maana ya vita baridi na namna inavo piganwa lakini kwaleo tupo kwenye mapinduzi

ya Cuba . Basi bwana kama unavyo jua wamarekani huwa hawashindwi kitu wakamjaza Fulgencia Batista

upepo wakampatia na vifaa vya kutosha lengo ni kwenda kufanya mapinduzi na upya ya kumtoa

Castro inakadiriwa Batista alijipanga na wanajeshi takribani 1400 ambapo kikosi kilifika eneo

Moja liitwalo Bay of pig . Wakati wanaendelea kujipanga kushambulia kumbe Fidel Castro

hakuwa amelala alikuwa macho na aliju kuwa lazima Batista atarejea Tena Kwa msukumo wa

wamarekan kwabaati mbaya Batista akishambulia alikutana na wanajeshi Zaid ya 20000 ambao

ni zaidi marambili kama sio nne ya wanajeshi wa Batista. Hivyo kikosi cha Batista 1400

kilishambuliwa na wanajeshi 20000 wa Castro. Kutokana na taarifa za kijasusi alizo zipata

Castro ilimfanya ajipange zaidi ndo maaana Batista alishindwa vibaya mmno. Kilicho fwata ni nini baada ya kuona hivyo ndipo Castro akatangaza rasmi kuwa Cuba ni nchi yalijamaa (Communist) Lengo la kufanya hivyo ni kupata msaada kutoka Urusi Kwa wakati huo

Urusi ilikuwa chini ya Nikita Khrushchev nae baada ya kuona hivyo Cuba katangaza kuwa ni

communist na ameomba msaada wa kijeshi ili kujirinda na mashambulio mengine Nikita

Khrushchev hakuchelewa . Maombo yalijibiwa Kwa kumpatia Cuba vifaa kama MRBM medium

range bilastic missiles aka mabomu ya nyuklia ya masafa ya kati na pia alipewa mabomu kama

ICBM intercontinental bilastic missiles Hilo ni mambo ambao unaweza kusafirisha Bomu ya

nyuklia bara Moja Hadi jingine mabomu ya masafa marefu ambayo ndo hayo mkorea anayajari

kwenye bahari ya Japan . Na Kwanini Urusi ifanye hivyo ni kwasababu Urusi ilisha wekewa mabaom ya nyuklia kama hayo

katika nchi ya Uturuki na Italia na yote hayo yalikuwa ni kumtisha mrusi ndipo nayeye akaamua

kufanya hivyo hivyo . Ikumbukwe US ilikuwa chini ya John f Kennedy rais kija wa marekani ndipo white house walioo

ona Bora nusu Shari kulilo Shari kamili Ikapigwa simu ya Moja Kwa Moja kutoka white house

Hadi Kremlin Urusi lengo ni kujadili namna ya kuutatu huoo mgogoro Kwani busara ndiyo iliyo

tumika . Basi wazee wazima wakakubaliana Kila mmoja aondoe mizigo yake aliyo itega Kwa mwenzie

hapo ndipo Dunia pumzi ilipo shuka Kwani macho yote yalikuwa Cuba Dunia yote roho mkononi

kwahofu ya vita vya nyuklia ambayo ndio vita inayo hofiwa zaidi kutokana na silaa zilivyo

boredhwa. Nandoomaana Urusi itapigana kufa kupona Ukraine isiingie NATO Kwani ikijiunga NATO ni

kuridia makosa na pia ni kumkaribisha adui mlango kwako . Nando maana Kila raisi anajukum la

kuwasikiliza wananchi wake lakin sio kufanya kama watakavyo wananchi wa Urusi ni kweli

hawataki vita na Hilo Putin analijua lakini hawezi Kaa kimya ni lazima apigane kufaa kuwalinda

wananchi wa Urusi na Mali zao . Dunia inapaswa kuacha ushabiki Kwani madhara yatayo jitokza

sisi sote ndio tutaumia hasa nchi za Dunia ya tatu.

Ikumbukwe Castro aligoma kabsa kunyoa ndevu alidai kama atatumia dk 15 Kwa siku kunyoa ndevu bas

Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,