China yatengeneza magari yanayo endeshwa bila dereva

Mkusanyiko huu wa picha unaonyesha magari yasiyo na dereva wakati wa majaribio ya barabarani katika kampuni ya Neolix Technologies Co., Ltd huko Beijing, mji mkuu wa China. Magari yasiyo na dereva yatatumika kuwasilisha bidhaa za wateja wakati wa tamasha la "Double 11", au toleo la Kichina la Black Friday.


Chanzo
China Xinhua News
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,