Vigogo wa Simba na Yanga kuimaliza dabi kwa Tsh Mil 900



Vigogo wa Simba na Yanga wameandaa bonasi za mil 900 kama sehemu ya morali kuboost ushindi kwa timu zao.
Mohammed Dewji ‘Mo ameandaa mil 500 kwa wachezaji wa Simba huku GSM akiweka mil 400 kwa wachezaji wa Yanga sc.
.
Nani hela yake itamlipa matokeo?!
x

Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,