Gambondi sijawahi poteza mechi dhidi ya Simba



sijawahi kupoteza mchezo dhidi ya Simba,Tulitoka suluhu hivyo sina recodi yoyote ya kuvunja.
Na kitu kikubwa kwangu ni timu kushinda nasio rekodi zangu binafsi,Nimewaandaa wachezaji kama mechi zingine hakuna kitu cha ziada,kikubwa hii ni mechi na mpira ni mchezo wa makosa yule atakayefanya makosa basi ataukuta mpira kwenye nyavu zake.
MIGUEL ANGEL GAMONDI kocha mkuu wa kikosi cha Yanga Sc.
x

Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,