Michezo

Takwimu za  mwamba Stephan Aziz Kii Zaitisha Simba

Ni mechi mbili tu ambazo AZIZI KI  hajahusika kwa chochote alipokutana na Simba Sc Tanzania wakati mechi 5 amehusika nazo.
Hatua ya makundi SHIRIKISHO BARANI AFRIKA uwanja wa BENJAMINI MKAPA akiwa ASEC MIMOSA alifunga bao kwenye uwanja huu huu.
Mechi ya marudiano ugenini AZIZI KI alitupia mbili.
Ngao ya Jamii ile yakwanza alitoa asist na yapili akatoa asist.
LIGI KUU akachomoa kwa mkwaju wa wa faulo.
Leo tena yupo kazini.....nasemaje yupo kazini mwamba.
Postini tu picha ya KIBU DENIS mwenye bao moja wakati kunamwamba anabao 4 akiwaadhibu nipo paleeèèe.

Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,