Michezo

Maneno ya Ahamed Ally mara baada ya mechi ya Simba na Yanga


Leo tumezidiwa na mpinzani wetu na hatimae tumeadhibiwa,  hakuna unachoweza kusema zaidi kukiri udhaifu kwa upande wetu
Hili limepita japo linaumiza na haliwezi kufutika katika mioyo yetu lakini muhimu ni kuganga yajayo
Tusipoteze focus, mbele yetu tuna mechi nyingi za kupigania malengo yetu
Tumepoteza mechi moja bado tuna mechi nyingine mbele za kupigania malengo yetu
Poleniii 
Afisa Habari was Klabu ya Simba SC -- AHMED ALLY
x

Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,