Ajiua baada ya kukagua simu ya mumewe


Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kijiji cha Marungu, Wilaya ya Nyasa, amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kunywa sumu ya kuulia Wadudu kwa kilichoelezwa kuwa alipekua Simu ya mumewe ambaye aliisahau nyumbani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema “Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp, akakuta mawasiliano ya mumewe na Mwanamke mwingine, akaamua kunywa Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC).”

Chanzo
Jamii forum
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,