China jana (Alhamisi) ilifanikiwa kutuma satelaiti mpya angani kutoka Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang kilichoko kusini-magharibi mwa Mkoa wa Sichuan nchini China.
Satelaiti hiyo, Zhongxing-6E, ilizinduliwa saa 7:23 usiku. (Saa ya Beijing) kwa roketi ya kubeba ya Long March-3B na kuingia kwenye obiti iliyopangwa kwa mafanikio.
Uzinduzi huu uliashiria dhamira ya 496 ya kutumia roketi ya kubeba mfululizo ya Long March.
Chanzo
China Xinhua News
Tags:
teknolojia