Michezo

Klabu ya Real Madrid kuhusu mpango wa kumsajil Kylian Mbape.

Real Madrid hawana mpango wa kumsajili fowadi wa Ufaransa Kylian Mbappe, 24, hata iwapo ataamua kutoongeza mkataba wake na Paris St-Germain na kuondoka bila malipo msimu ujao. (Cadena SER - kwa Kihispania)
Previous Post Next Post

No Thumbnail

News app yako bomba sasa unaweza idownload kwa kubonyeza batani ya download hapa ,